Bahati X Danny Gift – Fanya Lyrics

“Fanya Lyrics by Bahati X Danny Gift”

Aaaah Danny Gift mara tena Na Bahati tena,
tena Najua leo utafanya
(fanya) Kuliko ulivyo
fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya eeeh

Najua leo utafanya(fanya) Kuliko
ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya

Nina madeni hadi kwa mama mboga
Nina madeni haki leo katanuka Vile naona,
kashaanza kunuka Usiposhuka, baba leo
katanuka(fanya)
Natumia storo, bonga Kusema

vile we ni donga Na beat vile
inagonga Hebu sifika kwa hii ngoma
Natumia storo, bonga Kusema vile we
ni donga Na beat vile inagonga Hebu
sifika kwa hii ngoma Natumia storo,bonga

ALSO READ:  LYRICS: Cousin Stizz – Blessings

Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga
Ebu sifika kwa hii ngoma Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya
Fanya fanya eeeh Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya

Fanya fanya Nikikuona ata shida zitaona
Nikikuona na vipofu wataona

Nikikuona ata shida zitaona
Nikikuona na wagonjwa
watapona Baba fanya(fanya)
Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga Ebu sifika kwa hii ngoma
Natumia storo, bonga Kusema vile we ni
donga Na beat vile inagonga Ebu sifika
kwa hii ngoma Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)

ALSO READ:  [LYRICS] VIVIAN KENYA – MASHARTI

Fanya fanya Fanya fanya eeeh
Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya

fanya Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya) Fanya fanya
Fanya fanya Najua leo utafanya(fanya)
Kuliko ulivyo fanya jana(fanya)
Fanya fanya Fanya fanya

You cannot copy but rather type the content of this page