Harmonize – I Miss You Lyrics

“Harmonize – I Miss You” A brand new song by Harmonize titled I Miss You Lyrics.

Only you dey my mind
Na si mwingine hakuna
Kwenye hii dunia
I don’t know what to do
Never mind
Hata salamu unauchuna
Vimeseji nikikutumia
Ingawa silijui kosa
Ila fanya unisamehe
Umeniadhibu vya kutosha
Japo imani nionee

Oh baby nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika
Oh baby nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika

My baby
I miss you
I miss you
Ah
Ukiota mtu mzima maa
Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayawezi kupanda mlima
Mi kiwete siwezi kwenda ng’ambo
(I miss you)

ALSO READ:  Anjella – Kama Lyrics Ft. Harmonize

Nili sacrifice my life for you
Lo unaniona sifai na matusi juu
Natamani urudi mama ila siwezi
Kukufosi fosi punguza makisudi
Drama, izo mbwembwe na viposti
Posti

Kutwa nashinda Insta
Nazitazama zako picha
Usiombe bando likiisha
Mi mpweke raha yote tisa
Oh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika
Oh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika

My baby
I miss you
I miss you
Ah
Ukiota mtu mzima maa
Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayawezi kupanda mlima
Mi kiwete siwezi kwenda ng’ambo
(I miss you)

ALSO READ:  Harmonize – Never Give Up Lyrics ft. The World

nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika
nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita ipo siku nitaitika

SUBMIT OR CORRECT LYRICS Harmonize – I Miss You Lyrics