[LYRICS] Aslay – Rudi Darasani

Rudi Darasani Lyrics BY Aslay.

Bado hujajua
Bado hujajua utamu wa penzi
Unanisumbua wataka kazi uwezi kazi
Rudi tena darasani
Rudi tena darasa ukasome
Mwenzako me ntanesh no game za uswazi
Usijitole inacho
Nafanya za kibabe uwezi show zangu
Itakutoa jasho
Maji ya kisima unajuta muscle kusimama
Kipewa carroti ebu tafuna sio kumamunya
Na ukiona bakora,lia lia
Ina unanishangaza vidada
Najitia lunda

Rudi tena darasani yoh yoh
Masomo mengine huyawezi ata kutoa roho
Mama mama kubwi
Ehh kubwi kubwi
Ayee mwalimu
Eeh mwalimu
Mama mama kubwi
Ehh kubwi kubwi
Ayee mwalimu
Eeh mwalimu
Wamekula hasara wazazi wako
Wafwate pesa zao kwa pungwe wako
Waliuna gunaguna ka jibwa koko

ALSO READ:  [LYRICS] Aslay – Wife

Tumemzidi tembo kwenye uzito
Kwa nini nisitebuke
Nikatafute mapenzi
Kwani unataka muogo wakati unashiba kula ndizi
Sijatulia my babeh
Nibie au ni wezi
Nimezoea masotonyo
Uwanjani sipigi cha mkwezi ah!
Rudi tena darasani yoh yoh
Masomo mengine huyawezi ata kutoa roho
Ohh Mama mama kubwi
Ehh kubwi kubwi
Ayee mwalimu
Eeh mwalimu
Ohh Mama mama kubwi
Ehh kubwi kubwi
Ayee mwalimu
Eeh mwalimu

SUBMIT OR CORRECT LYRICS Aslay – Rudi Darasani Lyrics