[LYRICS] Best Naso – Maringo

Best Naso – Maringo Lyrics: Tanzanian Sensation Singer Unboxed his new single titled “Maringo”.

Ooh maringo maringo
Maringo changanya na mwendo
Fire kifuani embe ng’ongo re
Chini kafunga mzigo aah
Macho kama sanchoka
Ukitazama kama unaniita
Kiuno tueni Insta
Ukiwa mbali moyo unapwita

Napenda
Ukifungaga kanga
Napenda
ukitandika kitanda
Napenda
ukishikaga kamba
Napenda
ukisema unapanda
Mtaishi naye ehe
Ooh Jinja
Acha ngoma inoge
Mtaishi naye Kata
Ooh Jinja

Raha ya ndizi utoe maganda
Mtaishi naye ehe Ooh Jinja
Napenda kuku sipendi bata
Mtaishi naye haiya Ooh Jinja
Basi songa ugali zungusha kata
Heee, aiyaayyayyyaa
Chana nywele afro waka waka twende bichi koko
Usihofu afro sio kwa boda nina mkoko, koko
Vaa upendeze ooh kipenzi cha roho, katika
Twende ujichane ooh usihofu madoo
Nachotaka unipendee ooh yeah
Usije ringa unitendee ooh yeah
Taratibu tusonge ooh yeah
Twende kwa mama akuone ooh yeah

ALSO READ:  [LYRICS] Zaiid - Jesus Walks

Ooh, pole pole, uuuwiii
Si ni ka pale pale
Cheza mama cheza
Pole pole zungusha pale pale, aha
Macho kama sanchoka
Ukitazama kama unaniita
Kiuno tueni Insta
Ukiwa mbali moyo unapwita
Napenda
Ukifungaga kanga
Napenda
ukitandika kitanda
Napenda
ukishikaga kamba
Napenda
ukisema unapanda
Mtaishi naye ehe
Ooh Jinja
Acha ngoma inoge

Mtaishi naye Kata
Ooh Jinja
Raha ya ndizi utoe maganda
Mtaishi naye ehe Ooh Jinja
Napenda kuku sipendi bata
Mtaishi naye haiya Ooh Jinja
Basi songa ugali zungusha kata
Heee, aaaaiiiyyyyaayyaa

ALSO READ:  [LYRICS] PRINCESS PETERS – OMELAYA

SUBMIT OR CORRECT LYRICS Best Naso – Maringo Lyrics

You cannot copy content of this page