[LYRICS] Ethic – Figa

“Figa Lyrics BY Ethic”

Motif di don

(Chorus)
Kwanza venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Me hudai, hudai
Me hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Ah, me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)

(Verse 1)
Ringi ndani ya goro
Alafu akuwe solo
Kwanza akiwa momo
Buda na mchongoa
Macho zako ndogo chongo
Miami mboko mpaka usogo
Dem akiwa campo ana stone proper
Alufu akiwa vajo anadondosa
Pale down town na anadondosa
Pale down, pale down, kudondosa

ALSO READ:  [Lyrics] KAGWE MUNGAI - Blame Game

(Chorus)
Venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Ah, me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)

(Verse 2)
Niko kidalio shamba nachuna mboga
Leta jaza kwa chupa ya Jonnie Walker
Mi natakia mayeng mula rieng
Nazichuna kama Matiang’i
Ni kunyanda upigwe mboka

ALSO READ:  [LYRICS] Wini - Usinijaribu

Kuku manga kwa tools zangu za mogoka
Hakuna panya, so paka atakula nyoka
Wakitaka kitanda niko na sofa
Chapa chapa ukichapa, naachia ngoma

(Chorus)
Venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Ah, me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)

(Verse 3)
Kwa mbulu, looku, washa kindukulu
Kam tu kejani nikupige maviboko
Pale instagram, tunachachisha na kimboto
Venye unawatesa mi napenda mangoko
Mangoto, malocal
Siko kwa mbosho, orosho
Madiva zimebude na ni koro
Kulamba mororo, fika ndono juu ya koto
Vurugu kukaba kwa kina mahuru

ALSO READ:  [LYRICS] Paulo Ft. Elown Kiff No Beat - Pour Ma Chérie

(Chorus)
Kwanza venye umejibebanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Tako venye we huichezanga
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Figa fire yaani dangerous
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda
Fanya nafeel kama veteran
Me hudai, me hudai
Me hupenda napenda

Ah, me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda)
me hupenda napenda (Penda) (X2)

SUBMIT OR CORRECT LYRICS