[LYRICS] Haitham Kim – SEMA

“SEMA Lyrics BY Haitham Kim”

We ndo ulifanya najiuliza
Wapi napata wakuntuliza
Nafsi ya moto puliza puliza

Penzi ni moto ukaniunguza
Bila kujali kama nami ni binadamu

Imenipotea hamu
Ila kihali salama
Nakula vitamu
Usijesogea kwangu

Tena fata yako njia ya kawaida
Sito come sito come kwako na
Shida sina ya kupendwa na weii
Uu baby

No no no shida
Sina hamu sina kitu cha kuagiza
Wala cha kuhongwa na weii

Nilikuuliza kama nafaa au sifai sema
Ungenieleza kama sifaiiii kuwa wako
Nilikuuliza kama nafaa au sifai sema
Ungenieleza kama sifaiiii kuwa wako

ALSO READ:  [LYRICS] A-Reece – Four 20

Tena fata yako njia ya kawaida
Sito come sito come kwako na
Shida sina ya kupendwa na weii
Uu baby

No no no shida
Sina hamu sina kitu cha kuagiza
Wala cha kuhongwa na weii
SUBMIT OR CORRECT LYRICS