[LYRICS] Harmonize ft. Milly Nanace – Never Give Up remix

“Never Give Up REMIX Lyrics BY Harmonize” ft Milly Nanace

Lord have mercy
Oooh iyeeeeh eeh eeh
Let me tell you my story
Nimezaliwa Mbeya Tanzania
Huko Mbeta Mabatini
Hapa mjini nimezamia
Ah ndoto zilikuwa kuwa Missy
Mara ghafla kwa muziki zikahamia
My mummy am sorry

Kwa swala sana hukupenda uliposikia
Kama utani si nikaanza kuimba
Mungu si Athumani nikakutana na Kakinga
Akanipiga company japo kuna walo pinga
Kwamba sina kipaji
Fitina za ndani ndani mara ‘Milly’ anavimba
Atapendwa na nani? Mnyamwezi wa Ikunga
Nikajipa imani ipo siku nitashinda
Maana Mola ndo mpaji
Eeeh

ALSO READ:  Harmonize – Inanimaliza Lyrics Ft. Mr Blue

Now I make my paper(my paper)
And I bless my family
Pole walonicheka(nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili
Never, Never, Never
Never, Never, Never(Give up!)
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never
Never, Never, Never(Give up!)
Never, Never, Never

Please don’t care who you are
Where you from or what you do
And never give up(And never give up never)
And never give up(And never give up never)
Please don’t care who you are
Where you from or what you do
And never give up(And never give up never)
And never give up(And never give up never)

ALSO READ:  [LYRICS] Darassa Ft. Harmonize - Yumba

I remember Mama told me
Binadamu hawana wema
Watakuchekeaga usoni
Ukiwapa kisogo wanakusema
Usihifadhi chuki moyoni
Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye hukumbuki huyaoni
Ndo maandiko yanavyosema
Nilimtanguliza Mungu kwa Swala
Mara ghafla kaja mzungu Sarah
Thank you my beiby
You love me, you support me
I love you too

Shout out to my nigga Jose wa Mipango
Jabulanti, Choppa, I got love for you
Mnyama Mkali, Budda na Mchachambo
Waambie tunapita so mikono juu
Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga
Long way to go
Ila naiona afadhali, kulala uhakika
Na kula sio ka before
Debe kwa Azizi Ali, Mbaghala, Tandika
Kimara na Kariakoo
Ghetto na kibatari, kiangazi masika
Jua, mvua vyote vyako
Now I make my paper(my paper)
And I bless my family
Pole walonicheka(walonicheka)
Enzi navaanga kanda mbili

ALSO READ:  Crayon – Shima Lyrics

Never, Never, Never
Never, Never, Never(Give up!)
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona
Never, Never, Never
Never, Never, Never(Give up!)
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona

SUBMIT OR CORRECT LYRICS