[LYRICS] HARMORAPA – Fyekelea

“Fyekelea Lyrics BY HARMORAPA”

Kisa kutoka na mzungu
Wanaleta wivu
Kifupi hawaishii majungu
Konde kula ndizi mbivu
Piga pesa, piga Zari
Na Mobetto wao
Tuna nyumba tuna gari
Hatufanani nao
Utakula mzigo

Kwenye sifa unameremeta
Mchele una petapeta
Ukiniona unacheka cheka
Unapenda kudeka deka aah
Staki wanawake kama
Tukinawa una kichungi
Kukaa uchi mi naona ni ushamba
Sitaki kula karanga
Siogopi tu kuwa Amber Rutty
Wala mama vaa shanga
Haa, vaa shanga

Unaleta ujinga unaongea ovyo kama unakaza
Sijui ni joto tam
Mpaka unavaa unoma unavaa peni
Yaani hawasomeki wazee wanaita beiby, beiby
Fanya kuwachana nao
Wasikuzuge na usawa kaki wanakula kwao

ALSO READ:  [LYRICS] Innoss’B Ft Damso – Best

Wanapaka lotion na powder za dada zao
Nashangaa wanatongoza wanawake wenzao
Wanaume kogo famente, huo ni umama
Hayo mauno vipi, huo ni umama
Nakudari we ni kebe, huo ni umama
Shikwa makalio na kicheche, huo ni umama
Mwanaume mshinda insta, fyekelea mbali
Bibi kunyita sister, fyekelea mbali
Wasanii wapenda sifa, fyekelea mbali

Na insta za kimataifa twende, fyekelea mbali
Wapaka mafuta, sukuma ndani
Wapenda cha ukucha, sukuma ndani
Ma Dj wapenda rushwa, sukuma ndani
Wanaopenda kusuuzwa pia, sukuma ndani
Eti Harmo unatembeza mjegejo
Usishangae domo akivaa mlegezo
Kikuu kuu freemaster anatembeza vigezo
Harmo Rapper hapa master ndiyo namba ya mchezo

ALSO READ:  [LYRICS] VIP Jemo – Nebwojooga

Jua ha, washavua ila tuambie bwana mamaza
Wanajifanya wanachukia matendo tabia za
Tushawajua tushawashusha vyeo vyao
Wengine waheshimiwe, wengine wanajiita masimba
Cha ajabu wanavaa suruali hazina marinda
— umekuwa mmbeya vile unakaa manujinga
Waarabuni unachinjwa ila Bongo unalindwa
Madem wanapenda boga

Alafu za wazee hivi hawana uwoga
Wanaogopa baruti na wanajiita masoja
Wamejaza vifua kumbe ni wapaka powder
Wanaume kogo famente, huo ni umama

Nakudari we ni kebe, huo ni umama
Shikwa makalio na kicheche, huo ni umama
Mwanaume mshinda insta, fyekelea mbali
Bibi kunyita sister, fyekelea mbali
Wasanii wapenda sifa, fyekelea mbali
Na insta za kimataifa twende, fyekelea mbali
Wapaka mafuta, sukuma ndani
Wapenda cha ukucha, sukuma ndani
Ma Dj wapenda rushwa, sukuma ndani
Wanaopenda kusuuzwa pia, sukuma ndani

ALSO READ:  [LYRICS] Lanie Banks - Tondopa

Huo ni umama, huo ni umama
Huo ni umama, huo ni umama
Fyekelea mbali, fyekelea mbali
Fyekelea mbali, fyekelea mbali
Sukuma ndani, sukuma ndani
Sukuma ndani, sukuma ndani

Hayo mauno vipi, huo ni umama

SUBMIT OR CORRECT LYRICS