[LYRICS] Lord Eyes – Kweli

“Kweli Lyrics BY Lord Eyes”

Kweli, kweli, kweli, kweli
Barabara tushaunganisha
Naunganisha reli
Kiwanja kilisha kwisha
Midege mnakejeli…kweli
Huu ni ukweli au ukali? Kweli heri
Nataka niwasaidie mateja, ferry
Nataka niongoze nnchi iende vizuri

Siasa za kibepari hatuzitaji, kweli
Siasa ni majitaka wanabadilika, kweli
Wale waganga njaa angaza itawaunguza
Ukipuuza usaha kidonda utaunguza
Usiniletee uzaha mjanja nitaunguza
Na usinitangazie njaa hata mimi nauguza
Msitufwate nyuma mission mtauunguza
Wanatufuata hapo nyuma ubunifu wanapuuza
Tunaanzisha unafuata alafu unataka kutuchuuza

Watu bado wanakula rushwa kweli
Watu bado wanaiga maisha kweli
Eti weusi ndo wanaibeba hiphop, kweli
Mimi ndio definition ya hiphop
Barabara tushaunganisha
Naunganisha reli
Kiwanja kilisha kwisha
Midege mnakejeli…kweli

ALSO READ:  [Lyrics] AKA – Energy Lyrics

Barabara tushaunganisha
Naunganisha reli
Kiwanja kilisha kwisha
Midege mnakejeli…kweli
Bado hatujasimama maswala ya elimu, afya
Bado sijamaliza miungo mbili, chafya
Tunatoa maboko ya uhuru na mbomoko toza ushuru
Tunatoa walioko juu na unashusha size ya kadi
Tunatoa walioko chini nafukia aridhini
Nafika mzigo huru vitu vingi ni mururu
Mwendo mchache vitu vingi, siwafanyi kunguru

Walisha toa kiapo, wastaafu viboko
Watoto wa huzuni ndo wanashika bako, wazoefu viboko
Tufanye kazi wote, tuinuane wote
Tuna hiki ya kitaifa, basi tuile wote
Amani ni jukumu letu mi na wee
Watu bado wanakula rushwa kweli
Watu bado wanaiga maisha kweli
Eti weusi ndo wanaibeba hiphop, kweli
Mimi ndio definition ya hiphop

ALSO READ:  [LYRICS] John Blaq – Do Dat

Barabara tushaunganisha
Naunganisha reli
Kiwanja kilisha kwisha
Midege mnakejeli…kweli
Barabara tushaunganisha
Naunganisha reli
Kiwanja kilisha kwisha
Midege mnakejeli…kweli
Eti weusi ndo wanaibeba hiphop
Nataka niiongoze nchi iende vizuri

SUBMIT OR CORRECT LYRICS