[LYRICS] Mbosso Ft Reekado Banks – Shilingi

“Shilingi Lyrics BY Mbosso” Ft Reekado Banks

Naapa kwa Bibilia
Nashika na masafu
Naapa mbingu dunia

Funika kibakuli
Fungua moyo wa furaha
Sura za mafedhuli
Nyeusi fi, zimewafura

Wasome kwa Zaburi, Wagalatia
Hawashindi kudura
Hili penzi tanuri wakivamia
Litawavula

Anikuna nazi
Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi
Yetu mapochopocho

Sasa tuanze kazi
Usiku kwa asubuhi
Walitumwa geradhi
Mambo ya soko soko
Penzi sarafu lina pande mbili

Shilingi ya ng’ara ng’ara
Mwengewe bichwa mie
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Doli doli za mbwela
Shilingi ya ng’ara ng’ara

ALSO READ:  [LYRICS] Harmonize - Nafasi/Nishapona

Why you dey my side, Nobody dey ooh
Girl you dey, Nobody dey ooh
Take over my whole space
Roking my white shirt eeh

Ooh dance yah shatta
Anything for you I shake
Sometimes my body too lazy
But when you call me I go visit
Mmmh ah my toto baby waje
Shake your waje

Sometimes- too low
Thats why you call me I gon still show
— Cz I love you
And I want to give you all my love
–Penzi sarafu lina pande mbili

ALSO READ:  [LYRICS] Sarkodie ft Reekado Banks - I know

Shilingi ya ng’ara ng’ara
Mwengewe bichwa mie
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng’ara ng’ara

Doli doli za mbwela
Asa beiby komesha
Jishembe, jishembendue
Jishe, jishembe jishembendue
Jishaue beiby, jishembe jishembendue
Wajue mashauzi umezaliwa nazo
Jishaue beiby, jishembe jishembendue
Deka deka, jishembe jishembendue
Komesha vinyunguruta, jishembe jishembendue
Waambie sisi gari la petoroli
Wasije iba mafuta
(Abbah)

SUBMIT OR CORRECT LYRICS