Other Lyrics

[LYRICS] Otile brown Ft. Ethic – Dala Dala

“Dala Dala Lyrics BY Otile brown” Ft. Ethic

Kwa mapenzi kipofu macho hayana tongo
Hayana mwenyewe ya maridhiano
Pretty anakata mamodo na ana chongo
Tell me who do you love?
Upendo wa kwa yai huwezi fosi moyo
Asokupenda mpe kisogo
Tusipotezeane time usilete nyodo

Tell me who do you love?
I need some love now
Some real love now wouwo
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi
I need some love now
Some real love wouwo
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi
Dala dala, oooh mapenzi safari
Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala)

Ila yanaweza kukosti
Yanaweza kukosti(dala dala)
Oooh mapenzi safari
Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala)
Ila yanaweza kukosti
Yanaweza kukosti(dala dala)

ALSO READ:  [LYRICS] Otile Brown - Nauelewa

Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo
Leta pombe leta pombe
Umeivisha, umewezesha

Na kuna venye mafisi unawatesa
Jo ulifanya niwachane na
Mellisa, Patricia, Vannesa ata na Teresa
Mama niko solo sina keja ni lojo
Gizani utalamba ukidai kukiona
Akifika area nda msokonya
Wabebe na kiondo ukiguza kanyondo

Fika ka ni toto chini ya waba uwache ukoko
Nikikupa silver, goro nitapea Kamene
Ju mi ni girimba kuwa share kama meme
Ku-cuff na uloyal zote niliachanga tene
This time nina roho ya fisi ukitaka ikembe
Chuna kindovu baadae ukaikate pembe
Kiuno nyongoa ukaikate ka kadere
Napenda kwa ndolo ukinivishanga pete
Ju sura si mbovu, kumbao si lazma tembe

ALSO READ:  [LYRICS] Ethic ft Konshens - Figa

I need some love now
Some real love now wouwo
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi
I need some love now
Some real love now wouwo
Yalonikuta sitamani
Nipe pombe nimwage radhi

Dala dala, oooh mapenzi safari
Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala)
Ila yanaweza kukosti
Yanaweza kukosti(dala dala)
Oooh mapenzi safari
Ukiridhia ndo hundondoki(dala dala)
Ila yanaweza kukosti
Yanaweza kukosti(dala dala)
Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo
Ooh waiter njoo

Ooh waiter njoo
Leta pombe leta pombe
Ngori ooh ngori(upweke)
Yameshika ni ngori(upweke)
Nimelewa sina worry(upweke)
Basi nibebwe kwa tiroli(upweke)
Ngori ooh ngori(upweke)
Yameshika ni ngori(upweke)
Nimelewa sina worry(upweke)
Basi nibebwe kwa tiroli

ALSO READ:  [LYRICS] Otile Brown - Dala Dala x Ethic Entertainment
SUBMIT OR CORRECT LYRICS