[LYRICS] Otile Brown – The Way You Are

The Way You Are Lyrics BY Otile Brown:

Fi di Ladies(Fi di galdems)
Aha!

Mun kakuumba vikamilifu yeah
Black beauty umewaka
Mama umewaka

Umbo lako nyembamba yeah yeah
Ona ata mitumba inakaa
Mbona inakaa?

Usijiboosti makalio beiby
Hio ndogo ndo napendaga
Mi napendanga

Chuchu zako ndogo ka tomato
Hio ndogo ndo napendaga
Mama napendaga

Maana! Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin, mi napenda choco
Usijibleach mikorogo(Mikorogo)

Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin, mi napenda choco
Usijibleach mikorogo(Mikorogo)

ALSO READ:  [LYRICS] Otile Brown - Nauelewa

Asiyekupenda ulivyo
Hatokupenda hata ujichubue(Ujichubue)
Asiyekupenda ulivyo
Hatokupenda hata ujichubue(Ujichubue)

I Love you just the way you are(You are)
Ooh beiby(You are)
Mmmh(You are)
I love you just the way you are

I Love you just the way you are(You are)
Ooh beiby(You are)
Mmmh(You are)
I love you just the way you are

Ihaji made It

Mmmh! Hhio figa yako nyembamba
Ladha ya uchumba
Tukichoshwa kitanda
Anipa hadi kwa ukuta

Huwa nambeba kama mtoto
Mwepesi ka pamba
Zile bingiri bingi za chumbani
Jirani alalama

ALSO READ:  [LYRICS] Tekno – Beh Beh Ft Masterkraft

Kipepeo! Darker the berry
Kipepeo! Sweeter the juice
Kipepeo! Chuchu ndogo ka keli
Ila nanyonya naguza

Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin, mi napenda choco
Usijibleach mikorogo(Mikorogo)

Kunao wanaopenda biggy
Mi napenda ndogo
Wanapenda light skin, mi napenda choco
Usijibleach mikorogo(Mikorogo)

Asiyekupenda ulivyo(Oooh beiby)
Hatokupenda hata ujichubue(Ujichubue)
Asiyekupenda ulivyo(Oooh beiby)
Hatokupenda hata ujichubue(Ujichubue)

I Love you just the way you are(You are)
Ooh beiby(You are)
Mmmh(You are)
I love you just the way you are

I Love you just the way you are(You are)
Ooh beiby(You are)
Mmmh(You are)
I love you just the way you are

ALSO READ:  [LYRICS] Johnny Drille – You Are The Reason

Ai!

SUBMIT OR CORRECT LYRICS