[LYRICS] Saba Namba Ft. Mr. Blue – Taarifa

Taarifa Lyrics BY Saba Namba Ft. Mr. Blue.Tanzania trending music star, Saba Namba unlock another hot song with Mr Blue tagged “Taarifa”.

Nashangaa muda hautoshi siku hazigandi
Na ustar nausaka kwa tochi nikuze brand
Nakataa subira naivuta heri
Ni kweli anavuta bangi?
Nimekuwa nimejua na nimetambua kitu
Kwamba kuwa kuna wasanii na sanifu
Nachojua mziki ni shabiki sio kiki wala bifu
Kaishi Mombasa bishowe unapenda bure
Hata line yangu inasoma ila bado sijajua shule
Natofautisha muda kati ya usiku na mchana
Wala sanda piwa kuda wanaosnitch na kubana
Napambana leo ili kesho kwangu iwe nzuri
Blaza men mkanye– mie ni upepo wa kisuli suli

ALSO READ:  [LYRICS] Quada – Nah Stop Try

Utofauti wangu huwa sipendi sifa
Na ukitaka sifa zangu
Labda subiri nikifa
Nabadilisha mpaka tano inakuwa taarifa
Taarifa, taarifa ya habari
Taarifa, taarifa ya ajali
Taarifa, taarifa ya habari
Na-na mende kafia kwenye chai

Taarifa, taarifa ya habari
Taarifa, taarifa ya ajali
Taarifa, taarifa ya habari
Na-na mende kafia kwenye chai
Niko fiti sitishiki, kauli shiti sina
Saba natumia akili maana pesa sina
Kwanza zima hii ni kesi ya jinai
Vyuma vimekaza hadi kuku anakula yai
Boss kala tai, ng’ombe kala masai
Wape habari na taarifa ya mende kafia kwenye chai
Nanyonga kama tai wanaboa mzee
Usifake life wakati panya kaloa aisee

ALSO READ:  [LYRICS] Arrow Bwoy – Tujuane

Taarifa ya habari
Taarifa ya hatari
Na na na tahadhari
Kaa mbal, ooh lalala lo
Taarifa, taarifa ya habari
Taarifa, taarifa ya ajali
Taarifa, taarifa ya habari
Na-na mende kafia kwenye chai
Taarifa, taarifa ya habari
Taarifa, taarifa ya ajali
Taarifa, taarifa ya habari
Na-na mende kafia kwenye chai

You cannot copy but rather type the content of this page