[LYRICS] Timmy Tdat – Achika

“Achika Lyrics BY Timmy Tdat”

Eeeh, eeh nang’o
Ttt–eeh nang’o
Me addi silent killer eeh nang’o
Toka kasabuni na penyogane, yawa eeh nang’o
Ukiachwa girly achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa girly achika tu
Ha! we achika tu

Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu
Usiniite tukate maji girly, niite tukate cheque
Kush nilisare, ata Tracy ndo hutext
Nina body poa naeza shinda ata na vest ooh
Ka ulinicall sikupick si unaeza text
Acha hizo tabia za ku-call magizani
Ukiniendelea utanivunjia keja
Nina mtoto dem mi nangoja kijana
Nitakukol magethaa

ALSO READ:  [LYRICS] Timmy Tdat - Were

Eeh ati sikuwahi jua nitafall like this
Wewe ukiflirt mi nafeel kama dizzy
Me niko, they don’t feel like me
Ndoa ulivunja iko VIP girl
Ukiachwa girly achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa girly achika tu
Ha! we achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu
Kwa mapenzi nilizama

Mpendwa we makende zangu hudai aah
Sileti Maua atupige Sama
Ebu ka haujashika Iokote basi(Maua Sama)
Hanipi head, ju anipa mpaka brim
Ooh beiby chop, me naleta mpaka chain
Hii ni yake solo, haiwezi kwenda gym
Eeh, sio kubidi unifollow, aliziweka daily
Ati vitu zangu addictive huwezi live without
Amesahau akitoka si ali-live without
Aah vile alikuwa anasound
Sai mpaka ashavunja bed, tupate kwa couch
Ukiachwa girly achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa girly achika tu
Ha! we achika tu

ALSO READ:  [LYRICS] Timmy TDat ft. Beenie Gunter - Uptown Girl

Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu
Ati,kumbe una sponsor na huniambii
Kumbe una cheza na huniambii
Kumbe haunipendi na huniambii
Wapi mjuniour na mwaga ndani gyal?
Ati huniambii

Kumbe una sponsor na huniambii
Kumbe una cheza na huniambii
Kumbe haunipendi na huniambii
Wapi mjuniour na mwaga ndani?
Ndoto yako by the way utanihata
Stori zangu utazipeleka ibada
Relax, nitakualika baby sawa

(Vick pon Dis)
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Kubali we ni X
Gyale!

ALSO READ:  [LYRICS] Makayla Malaka - Lord You Are

Sawa nimekubali mi ni X
Lakini X ya darasani tu
Ngonja nikatafute ka baby kapya
We unanizururisha hapa
Sikutaki na mimi!
Ati kubali we ni X
Mi sio X, we ndio X frame

SUBMIT OR CORRECT LYRICS

You cannot copy but rather type the content of this page